Posts

HIVI UNAJUA KUMSOGELEA MPENZ WAKO NI TIBA TOSHA

Image
 kumsogelea mpenzi wako,,na kuwa karibu nae(zero distance) ni tiba tosha ,,si lazima wakati wote mnaongea mmekaa mbalimbali,au si kila siku utumie simu,kuna wakati utahitaji ukae nae,kaa nae karibu,jua hisia zake,mtazame kwa upole na tabasamu...hii hufanya kuondoa mawazo ya awali ambayo yalikuwepo hata kama alikuwa na hasira unapo msogelea na kumkumbatia kwa taratibu,,uso wa hasira hupotea,,na hapo ule mkate mgumu utakuwa tayari ushalowa ndani ya chai,,si busara kuishi kwa mazoea na kukaririana,unahitaji kuwa furaha katika penzi lenu,pia kumsogelea huleta hari mpya kati yenu na kuzima moto na joto baya na kufanya kuona harufu nzuri ya kupendwa kati yenu,utamfanya ajione wa pekee na unajali pia ni njia sahihi ya kutafuta suruhu mlipokosana,,ukishamsogelea tulia na mwambie ,,baby am sor kwa lililotokea jana,,utamwona kavuta pumzi na kusema..USIJALI ..BABY,nimekusamehe